Hadiyth

 عَنْ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ عَمْرٍو بْن الْعاص (رضي الله عنهما) عَنْ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ َقَالَ: ((الْكَبَائِرُ الإِشْرَاكُ بِاللَّهِ, وَعُقُوقُ الْوَالِدَيْنِ, وَقَتْلُ النَّفْسِ وَالْيَمِينُ الْغَمُوسُ)) البخاري وفي رواية لَهُ: أنَّ أَعْرَابِياً جَاءَ إِلَى النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ فَقَالَ: يَا رَسُولَ اللَّه,ِ مَا الْكَبَائِر؟ ُ قَالَ: ((الإشْرَاكُ بِاللَّهِ))  قَالَ: ثُمَّ مَاذَا؟ قَالَ: ((الْيَمِينُ الْغَمُوسُ)) قُلْتُ: وَمَا الْيَمِينُ الْغَمُوسُ؟  قَالَ: ((الَّذِي يَقْتَطِعُ مَالَ امْرِئٍ مُسْلِمٍ!)) يَعْنِ: بِيَمِينٍ هُوَ فِيهَا كَاذِبٌ

Imepokelewa kutoka kwa ‘Abdullaah bin ‘Amri bin Al-‘Aasw (رضي الله عنهما)  amesema kuwa Mtume (صلى الله عليه  وآله وسلم ) amesema:  (Madhambi makubwa ni kumshirikisha Allaah,  Kuwaasi wazazi wawili, Kuua nafsi na yamini [kiapo] ya uongo)).

Na katika riwaaya nyingine: “Alikuja Mbedui mmoja kwa Mtume (صلى الله عليه وآله وسلم) akamuuliza: Ee Mjumbe wa Allaah? Ni yepi madhambi makubwa? Akasema: ((Kumshirikisha Allaah)) Akasema: Kisha yepi? Akasema:  ((Yamini ya uongo)). Nikauliza: Ni ipi yamini ya uongo? Akasema: ((Ni ambayo mtu hujichukulia mali ya Muislamu!)) yaani akaapa kwa uongo.
Share on Google Plus

About Ndoa Katika Uislamu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment